iqna

IQNA

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)-Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamesisitiza juu ya ulazima wa kudumisha hali ya miongo kadhaa iliyopita katika eneo la Msikiti wa al-Aqsa katika Mji Mkongwe wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Israel baada ya utawala huo ghasibu kulivunjia heshima eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3476366    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/06